iqna

IQNA

kais saied
Hali nchini Tunisia
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475425    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25

Hali nchini Tunisia
TEHRAN (IQNA) - Waandamanaji wa Tunisia waliingia mitaani katika mji mkuu Tunis siku ya Jumamosi kupinga kura ya maoni kuhusu katiba mpya iliyoitishwa na Rais Kais Saied.
Habari ID: 3475394    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Tunisia, Kais Saied, amerufusha muda wa hali ya hatari nchini humo hadi mwishoni mwa huu wa 2022, licha ya maandamano yanayoendelea kufanyika kote nchini humo.
Habari ID: 3474947    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama Tunisia Ijumaa walimtia mbaroni mbunge ambaye alikosoa vikali uamuzi wa hivi karibuni wa rais Kais Saied ‘kunyakua; madaraka.
Habari ID: 3474144    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31